zoezi la upokeaji wa mabomba ya maji kwa ajili ya ukarabati mradi wa maji skimu ya Rufiji

Mbunge wa rufiji ambaye pia ni waziri wa Nchi ofisi ya Rais menejiment ya  utumishi wa umma na tawala Bora mhe. Mohamed Mchengerwa akiwa na baadhi ya viongozi wa wilaya ya Rufiji akishiriki kwenye upekezi wa mabomba ya maji kwa ajili ya ukarabati mradi wa maji skimu ya Rufiji

Post a Comment

Please Select Embedded Mode To Show The Comment System.*

Previous Post Next Post