Baada ya
kumaliza kikao, viongozi wa RUWASA wakiambatana na viongozi wa Serikali ya
Kijiji cha Kwala pamoja na Mkandarasi waliweza kutembelea eneo ambalo tenki la
lita 500,000 litajengwa
KUTEMBELEA ENEO AMBALO TENKI LA LITA 500,000 LITAJENGWA KWA AJILI YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA MAJI KWALA
byenorich
•
0