Watumishi wa Ruwasa mkoa wa Pwani wamewezeshwa pikipiki ikiwa ni jitiada za Ruwasa katika kutatua changamoto ya usafiri na kuboreasha utoaji wa huduma.
zoezi la ugawaji wa pikipiki kwa wa tumishi wa ruwasa kwa ajili ya matumizi ya ukaguzi wa miradi mkoa wa pwani